Mazishi ya Maalim Seif nilisikia mambo 3 muhimu Ibada, Madeni na Msamaha, Wakristo wanajikita kwenye Wasifu na Mashada

Kuna watu wanadai ukifa na lako limeisha?? Kuna haja ya kutoa elimu KWA wenzetu hawa. Huenda tunawalaumu bure na kuwasimanga chini KWA chini ila kiukweli kuna vitu vingi mno hawavijui
Kwani hawasomagi zile thread za Rakimu na kuzifanyia kazi
 
kama hukumshambulia hauhusiki katika maoni yangu hapa.
 
Kufa ni moyo na ubongo kuachq kufqnya kazi zake za kusukumq damu na kufahamu.

Hujajibu kama mtu anaweza kuendelea kuelewa yanayotokea baada ya kufa.
Kama hivyo ndio kufa kwanini sasa watu wanafikiria kwamba lazima watakufa?kwamba mioyo yao itaacha kusukuma damu na bongo zao zitaacha kufahamu.
 
Nje ya mada kidogo, kati ya Waislamu na Wakristo wepi huyoa viongozi wazuri na watenda haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…