Mazishi ya mama mkwe

Kamaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
563
Reaction score
33
Jamaa alikuwa na mkewe wakiaga mwili wa marehemu mkwe wake ,mwanaume akashindwa kujizuia akalia,mwanamke kuona hivyo akampiga kiibao huku akamwambia mumewe unalia nini na ulikuwa humpendi mama yangu? Jamaa akajibu najua,najua, ila nimeona kama amejitikisa!!!
 
haha kwa hiyo mshkaji alizani mbaya wake kaamka...............!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…