mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Hizo flana zitakuwa ni za baba yake huyo kijana na uenda alichukua nyingi kipindi hicho so dogo ķafunua mchago na kuibuka nayo hiyo kuuza nyagoMiaka 20 imepita na Tshirt bado ina mtosha kama kaishona leo. Amaa kweli haya ni maajabu ya uchumi wa kati.
BTW Sio mwananchi wa 'Kawaida' Identity yake itatambulika hivi punde.
Njoo PM nikunong'oneze
Mm niko na za Mlm JK nyerere shida amesha kufa sina pa kuzivaliaMimi nilikuwa na ya Michael Jackson lakini sikuweza kwenda kwenye msiba wake.
Mh? Ya Mwaka ganj huo🤔🧐Mimi nilikuwa na ya Michael Jackson lakini sikuweza kwenda kwenye msiba wake.