Mazishi ya Ustadh Ilunga katika picha

Umesahau kwamba JK kaingizwa madarakani na mfumo katoliki?

REJEA HII:

"KIKWETE NI CHAGUO LA MUNGU" (wa wakatoliki off course)!


Mkuu mbona unakuwa mwepesi wa kusahau.

Si nyie mliokuwa mnaambiane misikitini kuwa "Sasa ni zamu/wakati wenu" au umesahau?
 
Kwa hyo Kanumba na huyo sheikh umewaweka kwenye mizani ukaona sheikh ni mzito kuliko Kanumba? Mungu angekuwa kama mwanadamu cjui dunia hii ingekuwaje
innah lilah wainailaih Ruju, polen sana wafiwa pole pia kwa waislam wote ila sina uhakika kama kulikuwa na muakilishi yeyote wa bakwata hapo mazishini hususan sheikh wa mkoa wa dar!! wenye taarifa mtujuze!!
 
Kikwete anaona bora aende msiba wa Kanumba kuliko wa Sheikh!Innalillah Wain illah Rajiun

Hivi huyu Kikwete akienda kwenye msiba kinatokea nini haswaa mpaka tulalame hasipotokea tunamchukulia raisi na ikulu yake kiwepesi sana kwamba anaweza kukurupuka tu kwenda kunywa kahawa au msibani hivi vitu vina utaratibu jamani ikulu ni sehemu nyeti mpaka afikr sehemu mengi yanazingatiwa,punguzeni kulalamika mbona hajaja na uyo sheikh kazikwa.
 

Kwa kanumba anaenda kuangalia mabeibeeeeeee
 
innah lilah wainailaih Ruju, polen sana wafiwa pole pia kwa waislam wote ila sina uhakika kama kulikuwa na muakilishi yeyote wa bakwata hapo mazishini hususan sheikh wa mkoa wa dar!! wenye taarifa mtujuze!!

samahani mkuu. haya maneno "innah lilah wainailaih Ruju," au "Innalillah Wain illah Rajiun" nimeyaona mara nyingi sana humu kunapotokea misiba. bahati huwa nayaona yakitolewa na waislam bila kujali aliyefariki dunia ni mkristo au muislamu. huwa wanayadumbukiza tu. Hivi tafsiri yake sahihi ni nini hasa katika kiswahili rahisi? "innah lilah wainailaih Ruju," au "Innalillah Wain illah Rajiun"? hii ndo kusema nini?
 

Inna lillah - hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu

Wainna ilayh rajiuun - na hakika kwake ni marejeo
 
Mkuu mbona unakuwa mwepesi wa kusahau.

Si nyie mliokuwa mnaambiane misikitini kuwa "Sasa ni zamu/wakati wenu" au umesahau?

Nakumbuka yote wewe ndio umesahau tamko la kanisa katoliki kupitia kilaini "KIKWETE NI CHAGUO LA MUNGU" ndio nakukumbusha,naomba na wewe unitajie jina la msikiti au shekhe angalau wa msikiti mmoja tu unaoeleweka ambae alisema ni "zamu yao" waislam!
 
Asante Allah kwa kumuwahisha huyu jamaa. Mkirimie wale mabikira 72 wenye macho kama vikombe ahangaike nao. Sisi huku bongo alishatuchosha kwa chuki zake
Jamaa alikua na chuki balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…