Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Iko wapi mkuu? nimeangalia kwenye page yake instagram sijaionaEric omondi sio muoga kaangalie ile clip anamuihlgizia malkia huko kuzimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Omondi ndezi sana
Niliona Facebook jamaa ni mchokozi eti malkia kavaa suti za blue anataka kuingia mbinguni Kuna mabaunsa ni weusi wanamzuia πππIko wapi mkuu? nimeangalia kwenye page yake instagram sijaiona
Aliifuta hii hapa ipo YouTubeIko wapi mkuu? nimeangalia kwenye page yake instagram sijaiona