Mimi nafikiri haya ndio maelezo pekee yanayo make sense.
Kabla ya kuzaliwa hatukuwepo, wala hatukujua chochote. Baada ya kufa hatutakuepo, wala hatutajua chochote.
Tatizo binadamu tumedanganyana kwamba sisi ni viumbe "special", tuna roho iliyotoka kwa Mungu, tukifa roho inaendelea kuishi, mara sijui tutafufuliwa siku ya mwisho.. mambo ya ajabu kabisa!