Mazito ripoti ya CAG - Janeth Rithe: Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’... Serikali hoi kwa madeni! Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT

Yafaa apewe tuzo ya kuitia nchi hasara ndie aongozae tangu akiwa waziri kuanzia meli ya samaki,mv kigamboni,kituo cha mafuta mwanza,barabara ya bagamoyo nk.Kila agusacho ni hasara kwa taifa tena kubwa tu
Basi system zetu haziko independent kufanya vetting za viongoz wa kitaifa lakin huyu jamaa ni mpigaji toka enzi akina mfugale fryover wanamjua ndo maana hawagusi
 
asante mkuu Zitto kwa kuwa msikivu na kufanyia kazi ushauri tuliokupa.
hii sasa ni user friendly kwa public consumption through media.
 
Kichere amekuwa kicheche kweli ametuonyesha rangi halisi tulidhani Assad ana chuki binafsi.Tunamuomba tu Mungu wasiojulikana waendelee kubakia likizo
 
Hivi kweli mmekaa jopo zima la Act mkakaa na kupima kabisa kwamba ripoti hii ya CAG itawapa kick kwa kufichua ufisadi? Tena ambao bado unasubiri majibu ya PAC! Kama ni kweli au la?
 
Hata mimi nilikuwa nafikiri atakuwa Ndoho tabhu ila ameishangaza nchi nzima hata na ccm wenyewe hawana hamu
 
@Zitto hii ripoti inamambo mengi sana ya kujadili, ila kwa sababu bado tunamlilia kipenzi chetu Assad tunakosa nguvu za kuichambua kwa nguvu zote maana itakuwa kama tunawapa uhalali wateuaji.

CAG hajaongelea ndege, ujenzi wa reli na mifuko ya kijamii...ila maswala mengi aliyoongelea yana madudu kibao.

Zitto fungua moyo tuchambulie hii ripoti inaudhaifu mwingi sana kuhusu serikali hii.
 
Shetani ni nyoka ,nyoka ni sumu ,sumu inaua
Ccm ni mafisadi,mafisadi wanahujumu nchi,uhujum unaleta umasikini
 
Hoja yako haiendani na mada.
 
Mie ngoja nimwamini zitto, kwanza maelezo yake yanaonyesha hakuna ubadhilifu Ila kasoro katika uwekaji hesabu na kimsingi sio kasoro Ni upotoshaji wake tu kwani hakuna taratibu zilizokiukwa.

Kuhusu budget na makusanyo anaongelea tofauti za asilimia Kati ya jk na JPM lakini hasemi tofauti ya fedha,

Kusema kuwa mizigo haijavuka mipaka haimaanishi imeibiwa, hasemi Ni mizigo mingapi iliyotolewa lakini iko kwenye ma godown au kwenye mafuso kuelekea mpakani
 
Hoja yako ni nini hapo kwamba hayo yaliyosemwa hayakutoka kwenye ripoti ya CAG?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…