Michaelboniface331
New Member
- Jul 11, 2020
- 1
- 0
Habari zenu wandugu,
Nimeanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, sasa nina changamoto ya soko la uhakika: natafuta soko la maziwa kwa ukanda wa Mbande hadi Mbagala, kwa sasa ninauwezo wa lita 10 kwa siku, ila kuanzia mwezi wa kumi ni nitakua na uwezo hadi wa lita 30.
Bei ni elfu mbili kwa lita nakufikishia ulipo.
Asante sana.
Na muwe na siku njema.