peter tumaini
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 573
- 94
wacha masihara wewe hivi unajua ili kupata lita 5000 itakubidi kukamua ng'ombe wa kienyeji wangapi?
ng'ombe wangapi naru?
upo wapi
wacha masihara wewe hivi unajua ili kupata lita 5000 itakubidi kukamua ng'ombe wa kienyeji wangapi?
Mkuu uko Kasulu nini? Maana huko mpaka tunamwaga maziwa kwa kukosa soko!
Wasiliana na Tanga fresh!
NARUBONGO
Hivi ng'ombe 600 wa maziwa kwa wiki hawatoi hizo lita 5,000 au wewe unafikiriaje?kama una soko lete tufanye kazi
sawa na hizo lita alizozitaja au zaidi
wacha masihara wewe hivi unajua ili kupata lita 5000 itakubidi kukamua ng'ombe wa kienyeji wangapi?
hapa sio chini ya ng'ombe 7500. kwa maana ya wastani wa lita 1.5
ngo'ombe wa kienyegi kufugia maziwa ni utumwa.