Maziwa kujaa sana baada ya kuachisha

MC44

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
2,169
Reaction score
3,297
Habari ya asubuhi....
Nina ndugu ameachisha kunyonyesha.
Mtoto ana mwaka na miezi mitatu.
Tatizo matiti yamejaa sana na yanauma sana hadi amepata homa.

Tumsaidieje ili asiendelee kuumia?


NB :
HANA TATIZO LOLOTE LA KIAFYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini kamuachisha mapema? Muda maalumu ni miaka 2.

Aende hosp kama wataafiki watampa dawa ya kuzuia hormoni za milk production japo binafsi sishauri atumie dawa. Kikubwa apunguze chakula hasa vyakula vinavyoongeza milk production mf karanga. Badala yake ale chakula cha kawaida kbs. After few days yatastop kuvimba as mtoto akiyanyonya huwa anastimulate zile milk glands zitoe maziwa zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je,hali ya mwanamke kuwa na matiti makubwa wkt hajawahi ata kunyonyesha ni ishara gani au afanye nini ili yapungue???, maana me siyapendi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…