Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
kun Brand nyingi ndo maana nikakushauri ongea na nurse hapo kutokana na maeneo ulipo atajua ni brand gani nzuri.kwani upo wapi?
Sasa mkuu mfano akisha jikanda kwa muda labda ya siku 3 na hayakutoka inakuwajeeMatumizi ya formula hufanyika pale tu kwenye critical condition.. Mm naamini huyo mama anamaziwa ya kutosha na akijikanda vizur siku mbili tatu yatanza kutoka... Na kingine nibkutafuta breast pump zinauzwa kati ya 20000-100000
Nipo temekekun Brand nyingi ndo maana nikakushauri ongea na nurse hapo kutokana na maeneo ulipo atajua ni brand gani nzuri.kwani upo wapi?
AINA ZA MAZIWA YA KOPO (BABY FORMULA) NA MATUMIZI YAKEMatumizi ya formula hufanyika pale tu kwenye critical condition.. Mm naamini huyo mama anamaziwa ya kutosha na akijikanda vizur siku mbili tatu yatanza kutoka... Na kingine nibkutafuta breast pump zinauzwa kati ya 20000-100000
Ahsante,hapa nimepata somoAINA ZA MAZIWA YA KOPO (BABY FORMULA) NA MATUMIZI YAKE
Maziwa ya kopo (baby formula) ni maziwa ya ngo’mbe wana ya process na kuweka kwenye mfumo wa powder,na kuongezea virutubisho vingine.Maziwa ya kopo yana utofauti sana na maziwa ya mama sababu maziwa ya mama yanavirutubisho vingi ni asilia vinavyo mpa mtoto kinga mwilini na kumwongezea uzito mtoto kwa haraka ,wakati maziwa ya kopo yanachukua mda kumkuza mtoto na kumpa kinga ndogo mwilini na kumfunga choo.
sababu zitakazo pelekea mtoto kupewa maziwa ya kopo?
Wazazi wengi wanakosea kuwapa watoto maziwa ya kopo kusipo sababu maalum,mtoto anatakiwa apewe maziwa ya kobo iwapo kuna sababu malum na ushauriane na daktari, lasivyo ni vizuri mtoto anyonyeshwe maziwa ya mama ili apate virutubisho na kinga mwilini vitakavyo mwepusha na maradhi.
- Mama kutokuwa na maziwa ya kutosha
- Mtoto kutokushiba maziwa ya mama(hayamtoshi)
- Mama kupatwa dharura (kupata safari ya mda mrefu,kuumwa au kifo n.k)
Aina za maziwa ya kopo
Kuna aina nyingi za maziwa ya kopo ya watoto ,kuna mengine yalishapigwa marufuku nchini Tanzania kama (lactogen n.k)ila kuna baadhi yanatumika na ni mazuri kama
:Nan,
:Sma kopo la gold
:S26 köpö la gold
:Baby infant
:Cow gates
MADHARA YA MAZIWA YA KOPO
Maziwa ya kopo ni hatari sana kwa watoto sababu uaminifu ni mdogo ,kwa mfano Tanzania wafanya biashara wengi sio waaminifu wanauza maziwa fake kwa kujali maslai yao na selikali inatoa onyo mara kwa mara,mzazi unatakiwa kuwa makini sana maziwa fake huadhiri ini,figo ,kuhara,kutapika,kupata rashes,maumivu ya tumbo au kupata cancer .
USHAURI TOKA AFYA BORA KWA MTOTO
1:Maziwa ya kobo ukifungua kutumia unatakiwa utumie kwa siku 30 zaidi hapo hayafai tena kutumika mwaga.
2:Chemsha maji ya kutengenezea maziwa kabla hujachanganya na maziwa.
3:Hifadhi maziwa kwenye chombo cha plastic chenye mfuniko hakikisha hewa haipiti,kopo la maziwa yenye material ya steel(bati) ni sumu mbaya huchochea kupata cancer kwa urahisi.
MAZIWA YALIO HIFADHIWA KWENYE CHOMBO CHA PLASTIC
4:Unachotakiwa nunua maziwa yalio pakiwa kwenye makopo ya plastic au box dogo hayo ni mazuri zaidi kama cow gate,sma haya yatatoka Uk.
5:Soma expiry date(siku ya mwisho maziwa kutumika) ni hatari sana,usimpe mtoto bila kusoma tarehe.
6:Yakague maziwa kwa kuweka kwenye chombo cha plastic mara nyingine yanakuja na uchafu ndani mende,pini n.k
7:Maziwa mengine huwa yanakataa watoto wanapata maumivu ya tumbo wengine hutapika hivyo unaweza mbadilishia.
8:Nawa mikono yako kwa maji safi kabla hujamtengenezea maziwa mtoto
9:Maziwa ya mama ni muhimu kuliko ya kopo au ng’ombe mtoto anakuwa na kinga kubwa mwilini yako ni salama zaidi kwa afya yake.
Nunua mashine ya kukamulia maziwa.. Trust me hakuna mtaalamu wa afya atakushauri uumpebmtoto maziwa ya kopo.. Hao wanaokushauri uumpe mtoto hayo maziwa wanakupoteza.. Anza kumpa Maziwa ya kopo mara baada ya kupata ushauri wa wataalamu..Sasa mkuu mfano akisha jikanda kwa muda labda ya siku 3 na hayakutoka inakuwajee
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
nakuonyesha picha ya
3 days mtoto hajala kitu jamani !wewe ungemsahuri nini acha kuponda ushauri wa watu wewe kama hunaona haifai mwambie amlishe nini mtotoNunua mashine ya kukamulia maziwa.. Trust me hakuna mtaalamu wa afya atakushauri uumpebmtoto maziwa ya kopo.. Hao wanaokushauri uumpe mtoto hayo maziwa wanakupoteza.. Anza kumpa Maziwa ya kopo mara baada ya kupata ushauri wa wataalamu..
Ushauri mwingine
1. jaribu kumwambia mama apunguze mawazo na ww kumpunguzia stress zisokuwa na lazima.. Stress kwa mwanamke huchangia maziwa kutokutoka mapema..so mpe anachohitaji na si kumpa excuse zisokuwa na lazima.
2. Mama anywe maji ya kutosha na vyakula vya majimaji kama mtori nk
3. Ajaribu kutumia uji wa mbegu za maboga
Utafiti unaonyesha wazazi wanaoanza kuwapa watoto formula huishia kuwapa watoto wao formula kipindi chote cha utoto wao.. Coz akili hujitune kwamba mbadala upo so hakuna ulazima wa kunyonyesha..
Cha kwanza arudi hospital.. Watoto wengine wanazaliwa na matatizo au hawawezi kunyonya wanakaa hadi week bila kunyonya ije kuwa hizo siku tatu...3 days mtoto hajala kitu jamani !wewe ungemsahuri nini acha kuponda ushauri wa watu wewe kama hunaona haifai mwambie amlishe nini mtoto
Shukran mkuuView attachment 514962 View attachment 514965 nakuonyesha picha ya
Sasa hapa nipo kama pia sijui nifuate upande ganNunua mashine ya kukamulia maziwa.. Trust me hakuna mtaalamu wa afya atakushauri uumpebmtoto maziwa ya kopo.. Hao wanaokushauri uumpe mtoto hayo maziwa wanakupoteza.. Anza kumpa Maziwa ya kopo mara baada ya kupata ushauri wa wataalamu..
Ushauri mwingine
1. jaribu kumwambia mama apunguze mawazo na ww kumpunguzia stress zisokuwa na lazima.. Stress kwa mwanamke huchangia maziwa kutokutoka mapema..so mpe anachohitaji na si kumpa excuse zisokuwa na lazima.
2. Mama anywe maji ya kutosha na vyakula vya majimaji kama mtori nk
3. Ajaribu kutumia uji wa mbegu za maboga
Utafiti unaonyesha wazazi wanaoanza kuwapa watoto formula huishia kuwapa watoto wao formula kipindi chote cha utoto wao.. Coz akili hujitune kwamba mbadala upo so hakuna ulazima wa kunyonyesha..
AhsanteKama hayatoki kabisa rudi hospital..ila kama yanatoka kidogo hua ni kawaida kama uzazi niwakwanza mana mama anakua na stress nyingi..hivyo mshauri apuguze stress..
Jitahidi sana afanye yafuatavyo..
1.ampe mtoto chuchu anyonye ili ku stimulate homoni za mwili.
2.anywe maji yakutosha sio chini ya lita mbili kwa siku.
3.anywe uji uliochanganywa na pilipili manga..
4.ale balance diet angalau mara 4 kwa siku.
Nakutakia kila laheri
Nimeshangaa pia asali.. Nakumbuka nilifungua kwa kisu mtot akalazwa maumiv ya kidonda ckwend kunyonyesha km cku mbili walimpa glucose tu bila na hakupta tatzo loloteAsali hairuhusiwi kwa mtoto chini ya nwaka mmoja. Kwanza sukari yake ipo complex mtoto hawezi i digest kingine kuna uwezekano asali ikawa na vijidudu..kiutaalamu mtoto alipaswa kupewa glucose na si asali.. And i wonder kama huo ushauri mlipewa hospitali..
Kingine mama anatakiwa ajikande chuchu na maziwa yake kwa maji ya uvuguvugu maziwa yatatoka kwani kuchelewa ni jambo la kawaida..
Mmh ladyAJ ya kweli hayoooo?Mwambie mkeo atafute majani yapapai Dume aweke kwenye Maji na apuruze maziwa yake kila siku angalau Mara 2, trust me yatatoka mpaka atayachukia maana yatakua yanamwagika
Hao wanaomshauri ampe maziwa ya kopo sijui wamepata wapi utaalamu.. Kwanza hayo mazuwa ya kopo ni magumu mtoto hawez digest na yanamlemaza mama coz atahisi amepata mbadalaNimeshangaa pia asali.. Nakumbuka nilifungua kwa kisu mtot akalazwa maumiv ya kidonda ckwend kunyonyesha km cku mbili walimpa glucose tu bila na hakupta tatzo lolote