Mkuu kuhusu asali sielewi ila mama yangu ndo wazo lake hiloDuh asali kwa kichanga mbona hatari sana!! Mama awe mtoto muda mwingi pia awe anamweka kwenye chuchu,itasaidia stumulation ili maziwa yatoke,,mkande mkeo mabegani,pia usisahau chakula/ mlo kamili,,,,mpige misupusupu,,msindikize hospital akachunguzwe chuchu zake
tatizo chipsi mayaiTatizo la wazazi kukosa maziwa linazidi kuku siku hadi siku sijui tatizo hasa ni nini
Usinunue kabla ya kupata ushauri wa kitaalam hospitali. Kuchelewa kutoka kwa maziwa kwa mama ni jambo la kawaida kabisa. Huwa vinatoka kama vimajimaji. Mama akazanie kumnyonyesha hivyo hivyo soon yataanza kutoka.
Acha kulabdisha mkuu, maziwa yatatoka tu kikubwa aendelee kumnyonyesha mtoto hivo hivo na ale vizuri na kunywa maji.Sasa mkuu mfano akisha jikanda kwa muda labda ya siku 3 na hayakutoka inakuwajee
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Ngoja ampe maziwa ya kopo halafu kesho aje aseme mtoto hajapata choo siku saba. Maziwa ya kopo ni last option. Kikubwa mama aendelee kumpa ziwa mtoto anyonye, kuchelewa kutoka kwa maziwa ni jambo la kawaida sana kwa uzazi wa kwanza. Kikubwa mama ale vizuri na anywe maji ya kutosha. Pilipili manga wanasema husaidia sana kushusha maziwa.Hao wanaomshauri ampe maziwa ya kopo sijui wamepata wapi utaalamu.. Kwanza hayo mazuwa ya kopo ni magumu mtoto hawez digest na yanamlemaza mama coz atahisi amepata mbadala
Wasikilize watu tafadhaliMkuu kuhusu asali sielewi ila mama yangu ndo wazo lake hilo
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Nahic hii pilipili manga itasaidia sababu naona humu wengi wameisapoti hiyo pilipili acha nifanye hivyo sababu kila mtu humu yuko upande wake wengine maziwa ya unga hayafai wengine glucose haifai kila mtu na mtazamo wake humu ni bora nijaribu hii pilipili sababu mama ndie anae tumia hakuna mbayaNgoja ampe maziwa ya kopo halafu kesho aje aseme mtoto hajapata choo siku saba. Maziwa ya kopo ni last option. Kikubwa mama aendelee kumpa ziwa mtoto anyonye, kuchelewa kutoka kwa maziwa ni jambo la kawaida sana kwa uzazi wa kwanza. Kikubwa mama ale vizuri na anywe maji ya kutosha. Pilipili manga wanasema husaidia sana kushusha maziwa.
Nimekuelewa miss chagaPili pili Manga mam ale .. ikishindika mwanzise formula asali kwa watoto wa changa si nzuri
Mimi pia nilipitia hilo kwenye uzazi wangu wa kwanza,nilielekezwa na wa mama watu wazima na baada ya hapo hakika sikupata tatizo hilo tena