Ngoja ampe maziwa ya kopo halafu kesho aje aseme mtoto hajapata choo siku saba. Maziwa ya kopo ni last option. Kikubwa mama aendelee kumpa ziwa mtoto anyonye, kuchelewa kutoka kwa maziwa ni jambo la kawaida sana kwa uzazi wa kwanza. Kikubwa mama ale vizuri na anywe maji ya kutosha. Pilipili manga wanasema husaidia sana kushusha maziwa.