M
WanaJF,
Natafuta maziwa kwajili ya mtoto wangu, ana miezi mitatu na mama yake anaishiwa maziwa siku zinavyozidi. Hapa bongo mnanishauri nitumie maziwa gani?
Mkuu tafuta Maziwa ya S26, itasaidia, pole sana
Ni kati ya maziwa ya kopo ninayoyaamini, muulize na docta pia uone atakushauri utumie maziwa gani.
Tatizo la maziwa ya ng'ombe ni kwamba unanunua uwe unawafahamu na kuwaamini wauzaji maana wengine wanaweza kuchanganya na maji pia ng'ombe akawa na matatizo bado anakamuliwa maziwa. Hivyo inakuwa siyo salama lakini kama unawafahamu unawaambia ni maziwa ya mtoto, maziwa ya ng'ombe ni mazuri kwa maana ni natural zaidi kuliko ya kopo.
Ila kama ya kopo S26 ni mazuri!
WanaJF,
Natafuta maziwa kwajili ya mtoto wangu, ana miezi mitatu na mama yake anaishiwa maziwa siku zinavyozidi. Hapa bongo mnanishauri nitumie maziwa gani?
Uji ama vyakula vingine nje ya maziwa not recommended below age 4 months (UN, WHO, UNICEF, MoHSW-TZ)Kwa sasa, mnaweza kujaribu uji mwepesi sana, na mtoto jinsi anavyokuwa ataendelea kunywa uji mzito zaidi na hadi kufikia vyakula vya kupondwa.