Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
[TABLE="class: outer_border, width: 700, align: center"]
[TR]
[TD]habari zenu wakuu? ni matumaini yangu kuwa, mu-wazima wa afya kabisa!
wakuu, nina dukuduku juu ya aina hii ya maziwa, yaani maziwa mgando!
kwa jinsi inavyosemekana, maziwa mpaka yafikie hatua ya kuganda, lazima yafikie hatua ya kuoza (sina uhakika juu ya hili kwa sababu sijawahi fanya utafiti!).. habari tu ninazozisikia mitaani na kwa baadhi ya watu, zinatanabaisha hivyo.
wakuu, naombeni kupata ukweli juu ya aina hii ya maziwa. je, maziwa ya mgando yanayotengenezwa kiasili na yale ya kiwandani, ni bora kwa afya ya mtumiaji?
je, watoto wadogo chini ya miaka kumi, inashauriwaje kuhusu matumizi ya aina hii ya maziwa? madhara yake kiafya yakoje kwa watoto??
ndugu, mbali na watoto, je kwa watu wazima, maziwa haya yana faida kweli?..
ahsanteni!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]