Maziwa na dawa

Maziwa na dawa

NEGLIGIBLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
354
Reaction score
92
Wakuu habari,naomba mnijuze juu ya uhusiano wa maziwa na dawa/sumu..........huwa nasikia kuwa maziwa huwa yanatoa sumu mwilini ambapo ikitokea mtu kanywa sumu huwa anapewa maziwa ili kuondoa hiyo sumu,lakini pia huwa nasikia kuwa unapotumia dawa yoyote hautakiwi kunywa maziwa kwa sababu huwa yanaua nguvu ya dawa,swali je ni maziwa ya aina gani?fresh,mtindi,baridi au moto?vipi kuhusu chai ya maziwa?je ukinywa uji uliotengenezwa kwa maziwa unaondoa nguvu ya dawa?je unapotumia dawa hautakiwi kunywa maziwa kwa muda gani?vipi kuhusu maziwa ya mama na mtoto kutumia dawa?naomba msaada great thinkers!
 
Back
Top Bottom