Maziwa, tende na hurba

wanaume wa Dar mtakula hadi michanga[emoji3][emoji3][emoji3] hamna shida nyingine zaidi ya iyo
 
Hii inadhihilisha kuwa wanaume wengi wana tatizo la nguvu za kiume.
Sidhani kama wana tatizo ila kinachotokea ni kwamba inapofikia kwenye suala la ngono wanaume wengi wanapenda kuonekana wapo sawa kama akisikia mwenzake anakwenda dakika 45 au nusu saa alafu yeye anakwenda dakika 10 anataka ajitahidi amfikie wakati ni miili miwili tofauti ya watu tofauti na malezi tofauti.

Mie huwa nawauliza kwanini wanaume wengine wana uwezo wa kunyanyua mfuko wa sukari wa kilo 30 na wengine anakuwa ana hema utasema kanyanyua kilo 500 (kwa hili mtu ajishangai na ana amini kila mwili una uwezo wake ila kwenye ngono anataka mchuano wawe sawa)
 
Babu Asprin kiuno chatakiwa kianze kufanya kazi sasa teh teh teh! Maana hii Hurba nilikua sijawahi isikia wallah yeye hunywa mchanganyiko wa tende na Maziwa,ila ngoja nimtafutie hiyo hurba tuimarishe mazoez

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha umenichekesha sana... hakyamama hii hurba haijawahi kumwacha mtu salama...

Angalia asije akazidiwa akafanya mambo hadharani...

 
Hahahha umenichekesha sana... hakyamama hii hurba haijawahi kumwacha mtu salama...

Angalia asije akazidiwa akafanya mambo hadharani...

[emoji1] [emoji1] hebu nifafanulie Sheikh wangu maana Dada yako nae mie muda umeenda japo sitaraji kuongeza watoto wengine ila haki yangu muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soda inapunguza nguvu za kiume?[emoji23][emoji23]
Soda kusababisha Uzito wa mwili kuongezeka na kushindwa kuhema vizuri (kuhema juu juu) na pia ni moja ya visababishi vya ugonjwa wa kisukari, kazi ya mwanaume na hayo mwili hapo juu ni vitu viwili tofauti maana wakati wa kupanda mlima lazima utaishia njiani,endelea kunywa soda kaka maana mijanaume mingine mwapinga kila ushauri mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndo nimejua kumbe dadaangu ulifaulu na kuwa daktari...
 

"Mijanaume" hayo matatizo hayaletwi na soda,hayo matatizo yanaletwa kwa ulaji mbovu wa mtu. Kula vizuri,fanya mazoezi,kunywa soda,furahia mahusiano yako. Hii ndio dawa ya kuridhishana kwenye mapenzi.
Mwanaume hauwezi kukimbia 1km halafu unakunywa maziwa+hurba+tendw ni kujidanganya,hautatui tatizo hila unalizuia kwa kipindi kidogo.
 
Hizo dawa za kisuna zimefanyiwa tafiti kujua iwapo hazina athari kwenye figo?Maana wakati mwingine naona kuna watu wanakufa ghafla tu na walikuwa waumini wa hayo madawa yenu ya kisunna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…