Maziwa, tende na hurba

Sijakulazimisha unywe ngariba eeh! Hata mtoa post hajakulazimisha unywe, umesema vyema kua ni matatizo yanayoletwa kutokana na ulaji hata soda ni moja ya hivyo vilaji visababishi ndio maana tunaambiwa tule vitu asilia badala ya hivi vya viwandani. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sio kunilazimisha,tunaeleweshana tu na kwa niaba ya wengine waelewe.
 
vp kuhusu sisi tulioathilika na upigaji punyeto, itatufaa hii tiba?
Ndio mkuu hii itaba itakufaa lkn wakat unatumia hii dawa inabid ujipe mda mrefu pasipo kufanya tendo la mdoa au kupiga punyeto mfn ht miez sita au ht mwaka mzm tokana na ttzo lko ili kuimarisha misul yko ya umen imarike vizur..
 
Babu Asprin kiuno chatakiwa kianze kufanya kazi sasa teh teh teh! Maana hii Hurba nilikua sijawahi isikia wallah yeye hunywa mchanganyiko wa tende na Maziwa,ila ngoja nimtafutie hiyo hurba tuimarishe mazoez

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mkuu ..hurba. nzur sana kwa kuimarisha misul mwilin so akitumia itaimarisha na misul ya kulee..so mzunguko wa damu kwake utakuwa mzur sana.
 
Hizo dawa za kisuna zimefanyiwa tafiti kujua iwapo hazina athari kwenye figo?Maana wakati mwingine naona kuna watu wanakufa ghafla tu na walikuwa waumini wa hayo madawa yenu ya kisunna

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mkuu wanamatatizo yao binafsi dawa za kisuna ni maana ya dawa.za asilia ambayo hayana kemikal wala nn na hiz hutengenezwa tokana na miti asili na hutengenezwa kiasil zaid hakiongezwi kitu wala hakipunguzwi kitu mkuu..kwaiyo ni dawa salama kbsa
 
Mkuu mazoez mpk ukimbie 1km mazoez yko meng pia mi mtumiaji wa dawa iyo lkn mazoez yng sio ya lasmi mazoez yng ni kutembea kwa mguu mara nying ni kupunguza matumiz ya usafir..lkn ni dawa bora kwngu.
 
Mnakulaga nini mpk unapungukiwa na nguvu..!

Piga mihogo ya kuchemsha, maboga, magimbi, viazi vitamu, na dona utasikia kwa jirani matatizo ya nguvu za kiume.
Vyakula vya sasa c unavijua mkuu ndo ivo bhn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…