MDANGANYIKAJI
Member
- Jan 27, 2011
- 77
- 59
- Thread starter
-
- #21
Wow, hii ni post yangu ya mwaka 2011 nilipopata firstborn a babygirl now ana miaka 2 na nusu ameshaanza chekechea baby class na anaongea vizuri sana na ana akili kwa kweli namshukuru Mungu kwa zawadi hii amekuwa baraka kubwa kwetu, kiufupi nirirudi kazini na nilimpa SMA gold na kuendelea kumnyonyesha mpaka mwaka na nusu though hakuwa na mwili mkubwa mpaka nilipomwanzishia maziwa ya soya ya Tanzania, haya maziwa yamemwongezea utundu, mwili na kuchangamka ni maziwa mazuri nayarecommend kwa mama aliyeachisha kunyonya, mwanangu hakuwa na mwili ila immediately baada ya kutumia ameongezeka sana.
Namshukuru Mungu sasa nimepata secondborn a babyboy ana miezi 3, huyu ninamnyonyesha maziwa yangu mpaka sasa. Nikitoka namkamulia, safari hiu nina maziwa mengi na mazito sana kwa mara moja napata hadi mls300 tena kwa mkono, nikikamua kwa mashine hayatoki mengi kama mkono tena ameongezeka sana nimemzaa na kilo 3 baada ya miezi 2 ana 6.5 kgs.
Nawashauri hzo mashine za cameri ni feki ni bora utumie mikono, at first utaona madogo bt unavyoendelea kukamua ndivyo yanavyoongezeka ila unatakiwa uwe msafi sana, na uwe na chupa nyingi unavyokamua unajaza kabisa ili ukimwachia dada awe anampa tu, ukirudi unaosha na kuchemsha mwenyewe. Kukamua kunasaidia hata kupunguza uzito nilijifungua na 102kgs tena kwa operation nw nina 79 kgs and i believe ni kunyonyesha na kukamua kunanisaidia sana kuburn fat cs maziwa yanatoka mazito na mafutamafuta.