Maziwa ya mama huharibu dawa?

Maziwa ya mama huharibu dawa?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Habari wakuu,naomba nisiwachoshe.
Hivi maziwa ya mama nanaweza kuathiri ufanisi/utendaji kazi wa dawa kwa mtoto? Yaani kama tunavoshauriwa kuwa hutakiwi kunywa maziwa pale tu punde umalizapo kumeza/kunywa dawa[emoji120]
 
Back
Top Bottom