Full charge JF-Expert Member Joined Mar 1, 2018 Posts 1,678 Reaction score 1,617 Sep 30, 2023 #1 Habari wakuu,naomba nisiwachoshe. Hivi maziwa ya mama nanaweza kuathiri ufanisi/utendaji kazi wa dawa kwa mtoto? Yaani kama tunavoshauriwa kuwa hutakiwi kunywa maziwa pale tu punde umalizapo kumeza/kunywa dawa[emoji120]
Habari wakuu,naomba nisiwachoshe. Hivi maziwa ya mama nanaweza kuathiri ufanisi/utendaji kazi wa dawa kwa mtoto? Yaani kama tunavoshauriwa kuwa hutakiwi kunywa maziwa pale tu punde umalizapo kumeza/kunywa dawa[emoji120]