Maziwa ya Mbuzi

Bahingaye

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
58
Reaction score
106
wAkuu habari zenu, samahani mwenye kujua anifahamishe mwanza Maziwa ya Mbuzi napata wapi?
 
wAkuu habari zenu, samahani mwenye kujua anifahamishe mwanza Maziwa ya Mbuzi napata wapi?
Mwanza , ukiachana na Ng'ombe wa wasukuma sidhani kama wana project za Mbuzi.

Kama unayahitaji sana unaweza nunua hata kutoka sehemu za jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…