Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Utafiri umeonyesha kwamba maziwa ya mgando huimarisha kinga ya mwili na kukinga dhidi ya magonjwa ya mfumo wa hewa na haswa homa ya mafua.
Prof. Dr. Nizami Duran mkuu wa Idara ya Mikrobiolojia katika chuo kikuu cha sayansi ya tiba cha Hatay Mustafa Kemal pamoja na timu yake ya uchunguzi wamebaini kwamba maziwa ya mtindi kinga dhidi ya homa ya mafua
Katika taarifa ilisema utafiti uliofanywa umeonyesha mtindi huongeza kiwango cha immunoglobulin au antibody kwa kiwango kikubwa
Kati ya maeneo muhimu katika kinga ya mwili dhidi ya magonjwa ya kuambukiza ni “immunoglobulin” au “antibody” zinazotengenezwa na mwili
Katika utafiti huo wanyama wa majaribiwa kwa kupewa mtindi na waliweza kutengeneza “antibody” mara 2 hadi 10 ukilinganisha na wale ambao hawakupewa. Wanyama hawa waliopewa maziwa ya mgando, kinga yao dhidi ya magonjwa ya mfumo wa kupumua na haswa mafua iliongezeka kwa mara 10