Maziwa ya ngamia kwa Dar es Salaam yanapatikana wapi?

Maziwa ya ngamia kwa Dar es Salaam yanapatikana wapi?

Habari zenu, Nipo Dar-es-salaam nahitaji maziwa ya Ngamia je yanapatikana wapi?
Msaada tafadhali... Ahsantee!
Kariakoo ule mtaa ambapo kuna msikiti wa Idrissa nyoosha ukiwa unatokea msimbazi b mwendokasi, mtaa unaofuata upande wa kushoto utaona frame ya mpemba ipo juu juu kwenye kona anauza juisi mbalimbali, bites kama zote, fruits na soup.

Nadhani anauza pia maziwa ya ngamia...!
 
Fika hapa sinza afrikasana ingia njia kama unaenda kijitonyama upande wa kulia utaona bango hapo wanauza maziwa mazuri sana ya ngamia
 
Sinza Africana pale ile njia kama unaenda Mabatini au Kariakoo mtaa wa lumumba unakata kona inayofuata benki ya CRDB unaingia mtaa huo kwa mbele kuna mgahawa wa waarabu wanauza pia
 
Habari zenu,

Nipo Dar-es-salaam nahitaji maziwa ya Ngamia je yanapatikana wapi?

Msaada tafadhali...

Ahsantee!

Yana matumizi gani hayo maziwa? Tushirikishane Bwashee! Maana sisi wengine huyo Ngamia mwenyewe tu huwa tunamuona kwenye TV.
 
Back
Top Bottom