Kariakoo ule mtaa ambapo kuna msikiti wa Idrissa nyoosha ukiwa unatokea msimbazi b mwendokasi, mtaa unaofuata upande wa kushoto utaona frame ya mpemba ipo juu juu kwenye kona anauza juisi mbalimbali, bites kama zote, fruits na soup.Habari zenu, Nipo Dar-es-salaam nahitaji maziwa ya Ngamia je yanapatikana wapi?
Msaada tafadhali... Ahsantee!
Habari zenu,
Nipo Dar-es-salaam nahitaji maziwa ya Ngamia je yanapatikana wapi?
Msaada tafadhali...
Ahsantee!
Ni dawa...Yana matumizi gani hayo maziwa? Tushirikishane Bwashee! Maana sisi wengine huyo Ngamia mwenyewe tu huwa tunamuona kwenye TV.
Dawa ya mini?Ni dawa...