Maziwa

Maziwa

mapaja

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
16
Reaction score
3
Habari wana jf.mimi nina tatizo lakupenda maziwa fresh,naweza kunywa hata lita tatu kwa siku au zaidi ya lita tatu,mara nyingi nakunywaga yale box,au pakt naomba kujua side effect ya unywaji sana wa maziwa.thanx
 
mzazi kunywa sana maziwa ni mazuri kwa afya
 
Back
Top Bottom