M mapaja Member Joined Jan 17, 2013 Posts 16 Reaction score 3 Feb 13, 2013 #1 Habari wana jf.mimi nina tatizo lakupenda maziwa fresh,naweza kunywa hata lita tatu kwa siku au zaidi ya lita tatu,mara nyingi nakunywaga yale box,au pakt naomba kujua side effect ya unywaji sana wa maziwa.thanx
Habari wana jf.mimi nina tatizo lakupenda maziwa fresh,naweza kunywa hata lita tatu kwa siku au zaidi ya lita tatu,mara nyingi nakunywaga yale box,au pakt naomba kujua side effect ya unywaji sana wa maziwa.thanx
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,619 Feb 13, 2013 #2 hukunyonya au ni vipi?
Yieen Senior Member Joined May 8, 2012 Posts 103 Reaction score 27 Feb 15, 2013 #3 mzazi kunywa sana maziwa ni mazuri kwa afya
makavulaivu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 401 Reaction score 158 Feb 15, 2013 #4 Maziwa ni mazuri ila too much of anything is harmful!