mazoea hujenga tabia,bac tabia unaweza kufundishwa,je mwanamke hafundishw tabia?

mazoea hujenga tabia,bac tabia unaweza kufundishwa,je mwanamke hafundishw tabia?

Goroba20

Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
6
Reaction score
2
wakat wa kuoa ctoangalia tabia,kwan tabia hutokana na mazoea,na mazoea huzaa tabia, nitazingatia zaid mwanamke mwenye sura nzur,Npo sawa wadau au?
 
wakat wa kuoa ctoangalia tabia,kwan tabia hutokana na mazoea,na mazoea huzaa tabia, nitazingatia zaid mwanamke mwenye sura nzur,Npo sawa wadau au?

huko sawa kabisa mkuu, tabia kitu gani bana, uzuri wa sura, maumbile, hayo ndio makitu ya kuangalia, katafute mmoja bongo movie and bongo flavor au miss Tanzania, au miss universe au miss utalii au miss bantu au miss kanga au miss JF.................akili za mwenzako changanya na za kwako
 
Back
Top Bottom