huko sawa kabisa mkuu, tabia kitu gani bana, uzuri wa sura, maumbile, hayo ndio makitu ya kuangalia, katafute mmoja bongo movie and bongo flavor au miss Tanzania, au miss universe au miss utalii au miss bantu au miss kanga au miss JF.................akili za mwenzako changanya na za kwako