Mazoea ya kunywa maji baridi, Chilled Water, yana Madhara ??

Mazoea ya kunywa maji baridi, Chilled Water, yana Madhara ??

Itumbili

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
118
Reaction score
45
Ndugu wadau, nimekuwa na mazoea ya kunywa maji baridi toka ktk jokofu, iwe asubuhi, mchana, ama usiku.. Je mazoea haya yana madhara kwa afya yangu baadae ? Naomba kuelimishwa tafadhari.
 
Ngoja waje madaktari. Ila wanasema ni mbaya zaidi unapokula chakula chenye mafuta sana halafu ukanywa maji baridiii
 
According to Doctor Ndodi ni kwamba mwili utatumia muda mrefu sana kuyafanya maji hayo baridi uliyokunywa yaanze kufanya kazi, maana kama ukiyanywa yakifika tumboni lazima yakae tumboni ili yapate joto sawa na la mwili ili yaanze kusambaa kwa kazi mbalimbali za mwilini kwa hiyo kunywa maji ambayo ya joto kiasi kidogo sana (vuguvugu).
Ila si vibaya kama umetoka kula chakula cha moto ukanywa maji baridi.
 
Asanteni kwa kunipatia maarifa juu ya hili. Ni vema tu kubadiri mazoea haya.
 
Baada ya kula pata kikombe cha chai moto....ili kusaidia "digestion" na kuyeyusha mafuta baada ya nusu saa kunywa maji.
 
heri yangu mie maji baridi toka mtoto nayaogopa!!!hata kuwe joto aina gani! Ntakunywa warm ,kama kuna baridi hata a litle bit hot will do. Ila cold naona yanaukakasi ! Ila hey ,mishushio baridi inahusika
 
Back
Top Bottom