Mziwanda Mwafrika Chilas
Member
- Jul 7, 2013
- 12
- 15
Habari wanajamvi.
Leo limenikuta jambo, baada ya muda mrefu sana wa kuendesha fuso yangu kuzunguka mikoa mingi sana hapa Tanzania na baadhi ya maeneo ya nchi za jirani katika kutafuta riziki kwenye shughuli zetu za uzalishaji na kutafuta kipato.
Leo mida ya mchana boss wangu aliniita ofisini kwake kujadiliani mambo mbalimbali ya kazi na biashara pamoja na hali ya gari, na mambo mengine kama hayo.
Baada ya muda akaniambia tutoke twende temeke mara moja kuchukua spear flani hv kwa ajili ya matengenezo ya hiyo fuso. Tunatoka hv boss akanipa funguo ya gari yake akinitaka mimi ndio niendeshe hiyo gari.
Basi nikasema haina shida ngoja leo nioshe nyota maana ni muda mrefu sana umepita sijaendesha gari ndogo. Hii chuma ya boss wangu ni landcruiser kilimo kwanza 1HZ Mashine manual kama kawaida afu bado kinanda sana nadhani mnanielewa hapo wakali wa hizi kazi.
Basi tukatoka vizuri tu pale ofisini kwake nikaingia mandela road vizuri kuelekea temeke. Nikaanza kupanga gia bhana boss katulia pembeni yupo busy na simu yake.
Piga gia, chuma injini inaanza kuita "nipe gia baba" nikaipa moto. Mara pap tabata mataa hii hapa [emoji1][emoji1][emoji1], hapo ndo nilipo anza kujichanganya ndo nikajua mazoea mabaya aisee. Saa ngapi nisepeleke mkono wa kuwaishia wiper juu [emoji38][emoji38][emoji38] kwa lengo la kupiga stopper chuma ipoze moto.
Nakajikuta daah! linanitoka bila hata kutarajia tena mbele ya boss wangu[emoji38][emoji38][emoji38]
Boss ananiuliza vp shekhee mbona unatukana tena, ikabidi nicheke tu, nikazuga nilijua ningeziwahi taa...boss akavunga pale kwamba taa za hapa hazina sekunde ningumu kuzikadilia.
Tuakavuka fresh, nikaipa gia mashine inaaita tu, mwaga moto mwingi sana ikizingatia sijapush hizi gari ndogo muda mrefu sana, nikajikuta kama naendesha kidude fulani hivi kidogo kidogo wakati mzee nishazoea kupiga gia na fuso mgongoni nikiwa na tani 13 au 14 alafu namwaga moto sana tu njia kubwa huko.
Mara nakaribia kufika buguruni pale kwenye yard ya zile lori za MAN kukawa kuna jam inaanzia pale, nikajisahau tena nikajikuta mkono chap umerudi kwenye switch ya wiper kwa lengo la kupiga stopper, nakuja kustuka tayari nshafanya zoezi la kuiwasha nachek naona eenh. Mbona nabugi tena protocal, safari hii boss wangu alinistukia na alicheka kidogo akabidi anichane tu utanivunjia switch yangu mzee, naona spot injinj ishakulemaza wewe.
Kwa kweli wakuu haya malori sometimes yanamzoea mabaya sana. Njia zima nilijikuta kila baada ya muda nikitaka kupunguza mwendo najisahau nagusa ile switch hata nikijitaidi vp nakuta narudia tena.
Ni hayo tu wakuu.
Sijui nyie mazoea gani yalikusumbua sana baada ya kubadilisha chombo ulichokizoea kukiendesha kwenda chombo kingine?! Na ilikuchukua muda gani?!