Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Kwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio wamezagaa mule ndani na ndio wanaofungua na kufunga mageti.
MIsururu ya magari yao inakatiza, hii inatisha watu tena wakati wa misululu hiyo juu kunakuwa na Escot ya Helkopta wenye kujua nini kinaendelea watujuze maana inatisha walahi
Kwenu wanajamvi..
MIsururu ya magari yao inakatiza, hii inatisha watu tena wakati wa misululu hiyo juu kunakuwa na Escot ya Helkopta wenye kujua nini kinaendelea watujuze maana inatisha walahi
Kwenu wanajamvi..