Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Helkopita imening'iniza wanajeshi anga lote aiseeWewe Tulia na Uwe na Amani.
AHh pale ndio wanakula mishahara vzuriUlitaka wawe wanakula tu mishahara?
Wanajeshi lazima wajiweke Tayari wakati wote. Sema tu labda hawakutoa tahadhari na kinachoendelea.Helkopita imening'iniza wanajeshi anga lote aisee
EehWanajeshi lazima wajiweke Tayari wakati wote. Sema tu labda hawakutoa tahadhari na kinachoendelea.
KUmbe.Kwa tabora hiyo ni kawaida mkuu.
Niliishi hapo kwa miaka miwili na ilikuwa kawaida kuwaona wakipita barabarani wakifanya mazoezi
Kalunde sio rts wewe na haijawahi kuwa rts.Sema Tabora (Mboka) kambi kibao
Milambo
Airport
Usule
Kalunde RTS
Rada n.k
Huenda ni mazoezi ya kawaida tu
Kihangaiko na MonduliKalunde sio rts wewe na haijawahi kuwa rts.
Rts kwa sasa ni mbili tu Tanzania