JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kiafya, haitakiwi kuvaa barakoa ‘mask’ wakati wa kufanya mazoezi kwa sababu zinapunguza uwezo wa kupumua vizuri. Katika kufanya mazoezi, katika hali ya kawaida huwa na ugumu wa kuhema hivyo kwa kuvaa barakoa ugumu unaongezeka.
Vilevile, jasho linaweza kulowesha barakoa haraka na kuifanya isifae tena kwa matumizi na pia kuifanya kwa sehemu nzuri kwa ustawi wa vijidudu.
Njia bora ya kujilinda na #COVID19 wakati wa mazoezi ni kuhakikisha kuna umbali wa angalau mita 1 kutoka kwako hadi mtu mwingine.
Kwa wanaoenda GYM, ni vyema kuhakikisha wananawa mikono kabla na baada ya mazoezi, wanahakikisha umbali kati yao na mtu mwingine au mwalimu (instructor) unazingatiwa.
Wamiliki wa GYM wajitahidi kutakasa vifaa vyote na kuweka sanitizers sehemu nyingi ili kudhibiti maambukizi.

Upvote
0