Mazoezi ya Azam Katika Mchezo Wao Na Simba SC

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Kuna video nimeiona(,Nimeshindwa kuilandisha Hapa) Wakati wakifanya mazoezi kabla ya kucheza na Makolo.

Kimsingi Nimewadharau bure!

Walikuwa Kwenye mashindano ya kimataifa kwa nn hiyo jihadi hawakuionesha huko?

Kwenye mataifa walicheza kama wana vyuma miguuni lakini wakija kwenye local hasa Yanga na Simba, wanacheza kana kwamba baada ya mechi hakuna kucheza tena? Hovyo kabisa hawa.

Lakini nimewaza pia, mbona hawa jamaa wakibaki na Kali Ongala, wanacheza mpira mzuri na wa kushindana tofauti na kocha mkuu akija kwenye hii team?

Isije kuwa hawa jamaa na Acting Coach lao moja ili Kali Ongala aweze kupewa team?[emoji848]

Wakuu nimewaza tu
 
Kila taasisi huwa na malengo yake pengine lengo Lao ni ubingwa wa Ligi Tu, hiyo Simba unayoona inakaza kimataifa lengo Lao msimu huu ni kufika nusu final so usishangae wao kukamia Ligi af wasitumie nguvu kubwa huko pengine siyo priority Yao kama Simba wanavyosema wao priority Yao ni kimataifa tu, ingawa sidhana kama ni kweli hawataki kushinda Ligi
 
Kwahyo makolo mlitaka Azam awalegezee ili mshinde goli nyingi muendelee kujisifu
 
Mkuu hizi team hizi zinakamiaga mechi za simba na yanga tu hakuna kitu wewe ngojea uone mechi zinazofuata

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…