Afrika Yote Member Joined Oct 25, 2019 Posts 9 Reaction score 3 Jun 2, 2020 #1 Mimi sina ya kuongeza sana hapa ili hii inaonekana inafaa sana. Nakuwekea video hii usikilize mwalimu huyu wa mazoezi akiongea kuhusu mazoezi anayoyafundisha. Huu mtiti unaonekana sio mdogo. Wanapatikana Maga Beach & Mwalimu anaitwa Shija. Angalia kuanza dakika ya 14 hadi ya 24
Mimi sina ya kuongeza sana hapa ili hii inaonekana inafaa sana. Nakuwekea video hii usikilize mwalimu huyu wa mazoezi akiongea kuhusu mazoezi anayoyafundisha. Huu mtiti unaonekana sio mdogo. Wanapatikana Maga Beach & Mwalimu anaitwa Shija. Angalia kuanza dakika ya 14 hadi ya 24