Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Akuna anayeangaishwa na maumbile yake kumbuka ukitaka kutoa watu kasoro jiridhishe kwanza wewe upo vizuri kwa 100% bila hivyo watu waunao watoa kasoro lazima watatafuta kila kasoro yako ili waweze kulipiza ndicho kinachomtokea king wa mitandaoPamoja na madhaifu mengine ya huyu ndugu lakini nashangazwa sana na jinsi vijana wa kiume wanavyohangaishwa na maumbile ya huyu!!!......
How come full grown man unahangaishwa na ukubwa au udogo wa maumbile ya mwanaume mwenzako!!!!....?
Hili jambo huwa linaniacha mdomo wazi
Yapo mengi ya kukosoanaAkuna anayeangaishwa na maumbile yake kumbuka ukitaka kutoa watu kasoro jiridhishe kwanza wewe upo vizuri kwa 100% bila hivyo watu waunao watoa kasoro lazima watatafuta kila kasoro yako ili waweze kulipiza ndicho kinachomtokea king wa mitandao
Hii comment sio sawa kabisa hata kama humpendi basi heshimu haki yake ya kuishi maana sidhani kama maisha yake yanakuathiri wewe kwa lolote. GROW UP!!Nahisi Mzee Malecela akimuona Lemutuz a.k.a Lekokobanga a.k.a Nyenyenyenye huwa anajisemea kimoyomoyo "bora mbegu zangu ningezimwaga nje kuliko kuleta kiumbe cha namna hii Duniani"
WallahWilliam haki ya Mola wangu walahi
Hilo zoezi ndio linapunguza tumbo lake mana akitoka hapo anaenda kutoa kinye...si kg 10
Wakati Lemutuz akiwa anamalizia free trial ya mwezi mmoja kutoka gym fulani (jina kapuni),madaktari kadhaa wamecharuka na aina ya upigaji wake wa mazoezi na kudai mambo na mazoezi anayofanya si salama tena kwa umri wake.
Tofauti na upigaji mazoezi wa kawaida ambao mtu ubeba vitu vizito,Lemutuz yeye kaja na staili mpya ambapo huweka tumbo sakafuni kisha anawekewa vitu vizito mgongoni (mfano watu,madumu ya maji,matofali, mitungi ya gesi nk)
Madaktari hao wameshauri mmiliki huyo wa Gym kumkataza mara moja aina hiyo ya ufanyaji mazoezi au wamsimamishe mazoezi mara moja baada ya Free trial yake kuisha maana kuna uwezekano mkubwa wa kukatika kiuno na hivyo kusababishwa kufikishwa mahakamani kwa wamiliki hao.
Madaktari wengine walidai kuna uwezekano mkubwa mazoezi ya aina hiyo ikawa ni njia mpya ya uongezaji wa nguvu za kiume lkn wakiogopa kuthibitisha isije vijana wote wa Dar wakakimbilia mazoezi hayo.
Wakati hayo yakiendelea gym Lemutuz ameendelea kuwaumiza kichwa wasomi wa tabia za binadamu na saikolojia hasa baada ya kumstudy kwa miaka 10 lkn kushindwa kabisa kujua yeye ni aina gani ya binadam hasa.
Hili linabidi lifanyiwe uchunguzi haraka na majibu yatolewe mapema ili kuokoa hiki kizaziMadaktari wengine walidai kuna uwezekano mkubwa mazoezi ya aina hiyo ikawa ni njia mpya ya uongezaji wa nguvu za kiume lkn wakiogopa kuthibitisha isije vijana wote wa Dar wakakimbilia mazoezi hayo
ahha hhah ahhh kweli mkuuHili linabidi lifanyiwe uchunguzi haraka na majibu yatolewe mapema ili kuokoa hiki kizazi
HA HA HA HA HA KWELI UNAJUA KUKOLEZA!!!!mfano watu,madumu ya maji,matofali, mitungi ya gesi nk
Mkuu kweli jamaa lazima atakuwa anachoka,itafika kipindi ataikimbia id yake [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]