Mazoezi ya msuli wa PC au 'Kegel' ili kufanya uke kubana na kusaidia misuli ya uume

Nilifanya hivyo wakati nipo mdogo, ilikuwa ni part ya kamchezo kangu! Baada ya kugundua inauma na kwa kuamini ule ulikua utoto tu niliacha!
 
Nilifanya hivyo wakati nipo mdogo, ilikuwa ni part ya kamchezo kangu! Baada ya kugundua inauma na kwa kuamini ule ulikua utoto tu niliacha!

Mashaxizo, endelea na zoezi kwa kuwa xaxa ni mtu mzima bac ndo wakti mwafaka wa zoezi hilo..!
 
gegedo lake kubwa mpaka natamani mazoezi ya kutanua kama yapo niambie
 
gegedo lake kubwa mpaka natamani mazoezi ya kutanua kama yapo niambie

Mkuu masai dada maumbile ya ke yanauwezo wa kutanuka automatic na kuwa sawasawa kulingna na dushelele usika cha msingi hapo ni kumfahamisha mwenza wako akuandae vya kutosha na utaona tu ni saize yako..
 
gegedo lake kubwa mpaka natamani mazoezi ya kutanua kama yapo niambie

Achana na magegedo makubwa wewe! Litakupotezea kizazi ujue?!!!
Njoo kwangu uinjoi kitu middle/normal/everage = sio kubwa wala dogo!
 
Thubutu!!ha ha ha haaa looh!! natamani mada hii inewekwa kwenye gazeti pendwa la udaku hela zetu zisingeenda bure muda mwingine
Asante kwa uzi. Bila shaka mada za vibamia na mabwawa zitaisha
 
Mkuu masai dada maumbile ya ke yanauwezo wa kutanuka automatic na kuwa sawasawa kulingna na dushelele usika cha msingi hapo ni kumfahamisha mwenza wako akuandae vya kutosha na utaona tu ni saize yako..

siumiagi ila
 
Cyan6 asante kwa post yako napenda kukufahamisha kwamba mazoezi ya musuli wa PC ni zaidi ya unavyofikilia ufanya uzazi kuwa salama sana hasa kwako na kwamwanao..!

Ahsante kwa kunikumbusha, nimeshakuwa mzembe wa kufanya haya mazoezi ya PC kwakweli
 
Ahsante kwa kunikumbusha, nimeshakuwa mzembe wa kufanya haya mazoezi ya PC kwakweli
Mkuu Ram pole kwa kusahau kufanya mazoezi yamusuli wa Pc hata hivyo zipo njia rahisi tu kukuwezesha wewe kutosahau kiraisi unaweza kuandika ktk vipande vya karatasi neno (mazoezi) alafu ukavibandika sehemu km jikon chumbani hivyo vitakuwa vinakukumbusha bila ya mtu mwingine kujua chochote..asante!
 
Mama yoyo....kula na kunywa kwa wingi juice ya palachichi itakusaidia sana ku size nanilia yako kulingana na gogo la huyo mwenzako.....haina maana kwamba hyo nanilia yako itakuwa kubwa....but parachichi husaidia kulainisha misuli ya hyo nanilia pia huongeza oil(lubricant)... Hivyo basi utajiskia rahaaa na utamu...tena wakati mwingine ukiwa Katika ya bahari Utajikuta unasema.,,,baby ingiza yooooteee.....mbonaaaa ndogoooh.....!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna mtu alinambia eti kufanya mazoezi ya pc ni kuzuri sana ..na ukitakata kujua kama msuli uko poa fanya zoezi hili ukiwa na mkojo..Lakini eti...nasema eti kuwa kwa kufanya mara kwa mara ukiwa umebanwa na mkojo inasababisha UTI..je wataalamu ni kweli??? Na akashauri kuwa ni vizuri kufanya wakati hauna mkojo.. kuepuka hili tatizo..wataalamu njooni mtusaidie .tutunze hili eneo nyetiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…