ZNM
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 1,219
- 1,280
Mwezi wa 8 mwaka huu 2016 ulikuwa mwezi ambao watu wengi niliwaona wakifanya mazoezi ya miili yao kwa ajili ya kujenga afya zao kuliko kawaida tuwaonavyo siku zote, lakini ninashangaa mwezi huu wa 9 mwaka 2016 siwaoni tena!
Najiuliza, ukianza mazoezi kwa kustukiza na ukamaliza mazoezi hayo kwa kustukiza hakuna madhara kwa mwili? Au wenzangu mnaona mazoezi yale yanaendelea? Maana hata vyombo vya habari siku hizi sioni zikiripoti, kulikoni?