Mazoezi ya mwili unapoanza kwa kustukiza na unapoacha kwa kustukiza hayana madhara kwa mwili?

ZNM

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Posts
1,219
Reaction score
1,280
Mwezi wa 8 mwaka huu 2016 ulikuwa mwezi ambao watu wengi niliwaona wakifanya mazoezi ya miili yao kwa ajili ya kujenga afya zao kuliko kawaida tuwaonavyo siku zote, lakini ninashangaa mwezi huu wa 9 mwaka 2016 siwaoni tena!
Najiuliza, ukianza mazoezi kwa kustukiza na ukamaliza mazoezi hayo kwa kustukiza hakuna madhara kwa mwili? Au wenzangu mnaona mazoezi yale yanaendelea? Maana hata vyombo vya habari siku hizi sioni zikiripoti, kulikoni?
 
Au tuliaminishwa tofauti? Labda yalikuwa mazoezi maalumu!?
 
A wall!
 
Au ilikuwa kwa sept 1?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…