The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
huko jukwaa la wakubwa mi mwenyewe sijapata hata hiyo access ya kufika huko halafu si kwamba nilichoandika kina hamasisha tabia chafu hili ni somo ambalo hata hao ambao hawajaifikia stage watakuwa walimu wazuri katika jamii za kupunguza hizi adha za dawa za kichina ni somo ambalo liko wazi na jukwaa hili na hakika wengi wana access nalo kuliko la wakubwaNi darasa zuri na pana kama unahitaji watu waelewe mazoezi ya uke, uume, ungeiazisha huko kwa jukwaa la wakubwa ingependeza zaidi hapa sebuleni kuna watoto wa shule wasiopenda darasa.
Madhara yatakuwepo tu......nimesikia kuna sabunai za kubana uke je zina madhara?
nimesikia kuna sabunai za kubana uke je zina madhara?
Kumbeeee....!nilikuwa sijui,naanza sasa hv..
Slowly slowly... ucje muumiza Muzeiya...
Pc ni msuli unaotawala uke na kibofu cha mkojo.kama mke ana msuli imara wa pc uke wake unaweza kuubana sawasawa uume wa mumewe na kama ni dhaifu uke wake unakuwa ni mkubwa mno hivyo kushindwa kupata msisimko wakati wa tendo la ndoa . jinsi ya kufanya mazoezi ya kuimarisha msuli wa pc 1: tambua tofauti ya msuli wa paja na msuli wa pc.msuli wa pc ndo unaobana mkojo usitoke na mazoezi haya hufanywa wakati wa kukojoa ambapo magoti yatakuwa yametanuka ndipo utazuia mkojo kwa sekunde kazaa endelea kuzia na kuachia hadi kibofu kiishe mkojo.kila unapofunga mkojo unabana msuli wa pc.lakini magoti yakiwa yamebanwa unabana msuli wa paja.