Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Nataka kubuild body bt naanza na juu kwanza,lakini watu wanantisha niongeze ratiba ya mlo,eti wale mabode byulda msaada plz...,na ukiweka na aina ya zoezi la kupiga sio mbaya,na mda wa kuona outcomez.....