Abubakar Abdallah JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 281 Reaction score 170 Mar 22, 2018 #1 Nataka kubuild body bt naanza na juu kwanza,lakini watu wanantisha niongeze ratiba ya mlo,eti wale mabode byulda msaada plz...,na ukiweka na aina ya zoezi la kupiga sio mbaya,na mda wa kuona outcomez.....
Nataka kubuild body bt naanza na juu kwanza,lakini watu wanantisha niongeze ratiba ya mlo,eti wale mabode byulda msaada plz...,na ukiweka na aina ya zoezi la kupiga sio mbaya,na mda wa kuona outcomez.....
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Mar 22, 2018 #2 Nenda gym utaelezwa yote kwa vitendo,
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 12,599 Reaction score 26,263 Mar 22, 2018 #3 Nimewahi kuandika kuhusu haya kwenye huu uzi: Fitness and wellness