Mazoezi yanapunguza hamu ya tendo la ndoa?

Mazoezi yanapunguza hamu ya tendo la ndoa?

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
Je, ni kweli mazoezi ya mwili yanapunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa au kuongeza?

Tafadhali wajuzi tufafanulieni.
 
Kwa vyovyote mwili ukichoka unahitaji kupumzishwa tu,hivyo kupelekea mtu kutowazia mambo hayo.
 
Hayapunguzi nguvu zq kiume ila yanapoteza fikra za wewe kuwaza kufanyq mapenzi
 
HAKUNA UKWERI WOWOTE

Bt mtu anaefanya mazoez ana enyoi zaid kuliko yure asifanya mazoez

Hii ni kutokana na mwil wake kuwa fit kiafya

Nb usifanye mazoez hapo hapo ukaenda kugegedana

Bahadhi ya misul inaweza kukaza ivyo kukosa furaha

waiter mi niletee [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Kipindi cha mwanzo utakosa hamu kabisa maan mwili haujaa adopt hiyo new life style.

Lakini ukiendelezaa utajikuta unakuwa active sana.

Waaulize waliwahi kwenda depo la Tpdenga.

Unaezaa kaa na mtoto mzuri yupo uchi kabisaa na hataa usidinde. Ila sassa ukiaanza zoea utakutaa unatamaan hata utoroke ukale mzigo.
 
Back
Top Bottom