kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Mbona unaonekana mwoga sana?Mi nauliza baada ya jamaa mmoja hapa kufa ghafla akiwa kwenye mazoezi na madaktari wakagundua ni shambulio la moyo!kifo huwa hakipigi hodi mkuu,sio lazima ufanye mazoezi ndio utaishi milele.vyovyote unavyotaka kuishi wewe,ishi tu ili mradi hauvunji sheria za nchi,unatolea mfano wa watu waliokufa hata kumi hawafiki kwa range na idadi ya binadamu waliopo duniani,hakika wewe ni zwazwa,acha sie tuendelee na mazoezi yetu,na wewe jiweke kama boga na maisha yako...
USIFANYE ZOEZI KWA KIWANGO CHA JUU WALA USIFANYE ZOEZI CHINI YA KIWANGOTumeona wacheza mieleka wakifa ghafla kwa heart attack,wacheza mpira mf. Mark Vivian foe,na yule aliyefia Kagera,baadhi ya wanamuziki mf. papa wemba,licha ya maisha ya mazoezi.Bado tunaona wako watu kama akina Mugabe wanapeta na uzee hadi karibia karne na bado wana nguvu!Haya mazoezi yana uhusiano gani na moyo kusimamama ghafla?
MKUU KIMSINGI WATU WENGI HUFANYA MAZOEZI BILA USHAURI WA WATAALAM WA MAZOEZI.KWA KAWAIDA UNAPASWA KUPIMA UREFU NA UZITO WAKO WA MWILIMbona unaonekana mwoga sana?Mi nauliza baada ya jamaa mmoja hapa kufa ghafla akiwa kwenye mazoezi na madaktari wakagundua ni shambulio la moyo!Sasa najiuliza,huwa inasemwa mazoezi yanapunguza uwezekano wa magonjwa ya moyo,mbona sasa hivi vifo vinawatokea hawa wafanya mazoezi?Mtakumbuka pia Patrice Mwamba moyo ulisimama,na wengine hufa bila hata kutangazwa,sasa nataka kujua tu kwa mini mazoezi?
Mkuu hata mimi wacha niwasubiri wataalam hapa,mada nzuri sana hii.Tunahitaji michango zaidi wataalam jaman
Tafadhali fafanua kidogo kuhusu kuvuta pumzi mkuu,mini kinatokea?MKUU KIMSINGI WATU WENGI HUFANYA MAZOEZI BILA USHAURI WA WATAALAM WA MAZOEZI.KWA KAWAIDA UNAPASWA KUPIMA UREFU NA UZITO WAKO WA MWILI
BAADA YA HAPO UREFU WAKO TOA 100 KINACHO BAKI NDO UZITO UNAOPASWA KUWA NAO.
SASA KAMA UZITO NI MDOGO SANA UNAPASWA KUFANYA ZOEZI JEPESI LISIZIDI DK 10 KWA SIKU.
NA IWAPO UZITO NI MKUWA SANA BASI ZOEZI LA DK 30 KWA SIKU 5 ZA WIKI.
UKIGANYA ZOEZI NA UKAVUTA PUMZI KWA NGUVU SIMAMA ZOEZI MAANA KINACHOFATA HAPO NI KUANGUKA
Topic nzuri, wataalamu karibuni ili wengine tujifunze ktk hiliTumeona wacheza mieleka wakifa ghafla kwa heart attack, wacheza mpira mf. Mark Vivian foe na yule aliyefia Kagera, baadhi ya wanamuziki mf. Papa Wemba, licha ya maisha ya mazoezi. Bado tunaona wako watu kama akina Mugabe wanapeta na uzee hadi karibia karne na bado wana nguvu! Haya mazoezi yana uhusiano gani na moyo kusimamama ghafla?
kuvuta pumzi kwa nguvu na kushusha kwa nguvu unapokuwa umechokaTafadhali fafanua kidogo kuhusu kuvuta pumzi mkuu,mini kinatokea?
wahi mkuu madereva wanakujaNakaa siti ya mbele