Mazombi ya Msimbazi yalivyoondoka kwa aibu sina hamu

Mazombi ya Msimbazi yalivyoondoka kwa aibu sina hamu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
AIBU IMEWAKUTA
MADOGO WAMEKULAMPESA ZAOOO NA DRW WAMEPATA KHA
SISEMI MENGI

FT X
KWISHAKAZI MNAROPOKA SANA SHIDAA
Screenshot_20200624-210117.png
 
Afu sare yenyewe ya kubebwa na mbeleko...
Hahaaa..mkuu mbeleko imetoka wap pale,kilichowagharimu hao Namungo ni kuanza kupoteza muda,poleni wana Namungo na hongera kwa hao Mnaowaita Utopolo kwa hicho walichokipata.
 
Hahaaa..mkuu mbeleko imetoka wap pale,kilichowagharimu hao Namungo ni kuanza kupoteza muda,poleni wana Namungo na hongera kwa hao Mnaowaita Utopolo kwa hicho walichokipata.
Ahsante... hongereni sana kutoka droo na sisi wana Nyamungo. Nyie mmefurahi ila sisi tumesikitika sana...
 
Yani timu yangu ya Utopolo ndy imefikia huku
Rest in peace 😢 😢
 
Back
Top Bottom