Mazombi ya Msimbazi yalivyoondoka kwa aibu sina hamu

Afu sare yenyewe ya kubebwa na mbeleko...
Hahaaa..mkuu mbeleko imetoka wap pale,kilichowagharimu hao Namungo ni kuanza kupoteza muda,poleni wana Namungo na hongera kwa hao Mnaowaita Utopolo kwa hicho walichokipata.
 
Hahaaa..mkuu mbeleko imetoka wap pale,kilichowagharimu hao Namungo ni kuanza kupoteza muda,poleni wana Namungo na hongera kwa hao Mnaowaita Utopolo kwa hicho walichokipata.
Ahsante... hongereni sana kutoka droo na sisi wana Nyamungo. Nyie mmefurahi ila sisi tumesikitika sana...
 
Yani timu yangu ya Utopolo ndy imefikia huku
Rest in peace 😢 😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…