.......dah na wewe umo,tulia basi kwanza,andika upya ueleweke,Nyinyi madhabiki wa Mbwetumbwetu FC(mbumbumbu) muwe mnasoma na kuielewa tittle ya thread. Sasa mnaanza kusema kafurahis sare mmeelewa kilicjoandikwa?
Dk zimeongezwa zimeisha refa akawa anasubiri goli lipatikane amalize mpira,Hahaaa..mkuu mbeleko imetoka wap pale,kilichowagharimu hao Namungo ni kuanza kupoteza muda,poleni wana Namungo na hongera kwa hao Mnaowaita Utopolo kwa hicho walichokipata.
Timu yenu Namungo kilichowakosti ni kuanza kujiangusha,walipoteza muda mwingi sana,hawakujua kwamba moira n dakika 90...,poleni sana.Dk zimeongezwa zimeisha refa akawa anasubiri goli lipatikane amalize mpira,
Utopolo ni utopolo tu
Yan timu unazoshabikia ni matatizo tu. Pole sana ndugu.......dah na wewe umo,tulia basi kwanza,andika upya ueleweke,
Utopoloni ni kwikwi aseeeh
Akwota refa akishaongeza dakika za nyongeza baada ya dakika 90 aongezi Tena dakika nyingine refa alivyoongeza dakika 5 after dk 90 kuisha alikuwa sahihi kutoka na mechi kusimama kwa muda mrefu kwa Namungo kupoteza muda kwa sababu refa ameongeza dk 5 mpira ulitakiwa uishe dk 95 Cha ajabu goal limefungwa dk 97 hapa ndio mmeonesha jinsi gani mlivyobebwa na refa.Timu yenu Namungo kilichowakosti ni kuanza kujiangusha,walipoteza muda mwingi sana,hawakujua kwamba moira n dakika 90...,poleni sana.
Hao ni tako moko fc.Washabiki wa simba wana utaahira vichwani.
Dah! Naona wewe sasa unamuona Mh. Rage hana akili. Hivi unadhani alipowaita mbumbumbu alikuwa amelewa?Nyinyi madhabiki wa Mbwetumbwetu FC(mbumbumbu) muwe mnasoma na kuielewa tittle ya thread. Sasa mnaanza kusema kafurahis sare mmeelewa kilicjoandikwa?
Na itabidi wakamuangukie Molinga wamnanga sana lakini ndiye kawapa point moja leoNilivyoona title ya thread nikajua Yanga wameshinda kumbe wametoa sare
Goli la pili limefungwa nje ya muda wa mchezoAfu sare yenyewe ya kubebwa na mbeleko...
hivi ukiwa shabiki ni lazima ujitoe fahamu hata nyeusi useme nyeupe? hivi UTO KAMA UTO wa kuifananisha na SIMBA kweli!naamini ipo shida mahali na nakusindikiza na tusi DERPOTIVI LA UTOPOLO weeeeeeh....Yan timu unazoshabikia ni matatizo tu. Pole sana ndugu
Yanga ndiyo mmefikia hatua ya kushangilia draw?AIBU IMEWAKUTA
MADOGO WAMEKULAMPESA ZAOOO NA DRW WAMEPATA KHA
SISEMI MENGI
FT X
KWISHAKAZI MNAROPOKA SANA SHIDAAView attachment 1487988
Sana,wanajitoa ufahamu sana hawa jamaa.Washabiki wa simba wana utaahira vichwani.
Yea,waliumia sana.Wakalia tako 1 jana ile sare iliwauma vibaya sana
Mechi zenu hukumbuki mkuu kwenye maswala mazima ya kubebwa kuhusu dakika,plus offside za waz kabisa na magoli ya offside,hawa hawa Namungo mliwadhurumu kwa goli la offside.Akwota refa akishaongeza dakika za nyongeza baada ya dakika 90 aongezi Tena dakika nyingine refa alivyoongeza dakika 5 after dk 90 kuisha alikuwa sahihi kutoka na mechi kusimama kwa muda mrefu kwa Namungo kupoteza muda kwa sababu refa ameongeza dk 5 mpira ulitakiwa uishe dk 95 Cha ajabu goal limefungwa dk 97 hapa ndio mmeonesha jinsi gani mlivyobebwa na refa.
DullyJr rodrick alexander Southern Highland OKW BOBAN SUNZU barafuyamoto Ghazwat