Mazungumzo Gaza, hati hati kukikwaa kisiki

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Tarehe 9/4/2024 kulitolewa siku 2 za tafakuri:



2. Kuelekea Tafakuri walisikika wawili hao:



3. Hata hivyo: kutokea Israel, somo lilisha eleweka:

Natenyahu akubaliana na kilichopo mezani

4. Kutokea HAMAS, Ngoma Iko pale pale:



5. Kwamba,



6. Kumbe kulikoni kuhitaji shikizo kwa awaye yote nje ya ridhaa yao?

7. Si kweli kuwa ni Kwa sababu hakuliki wala hakukaliki, kwamba:



8. Kulikoni ukomavu huu usioteteleka, kutokea kwa wanaofikiriwa kuwa wanamgambo "uchwara" hawa?



9. Kwamba yawezekana mateka walikufa?



10. Si mseme tu, kwani makombora yale yasiyokuwa na macho yalikuwa ni kwa wapalestina peke yao?



11. Cha kutambua, ukombozi si lelemama; piga ua, udhwalimu utashindwa!
 
Imethibitishwa, HAMAS kasimama na matakwa yake:

1. Vita Kusimamishwa
2. IDF kuondoka Gaza
3. Watu wa Gaza kurejea kokote watakako.

Vinginevyo twende KAZI:



Ngoja tuone mateka wangapi wataokolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…