Digitali ni kiungo muhimu katika kukuza Demokrasia wakati huu ambapo ukuaji wa sayansi na teknolojia unashika kasi hapa nyumbani na duniani kote
Mjadala huu wa 'Demokrasia Kidigitali' na mingine ya aina hii ni itatoa fursa ya kujifunza, kuelewa, kushiriki na kuwa sehemu ya mabadiliko
Tanzania ni moja ya soko linalokuwa zaidi barani Afrika kwenye nyanja ya dijitali, takwimu ya mwaka 2020 ikionyesha watumiaji wa internet wamefika milioni 28.5 kutoka milioni 25.8 mwaka 2019 huku idadi hiyo ikiwa sawa na asilimia 49 ya watu wake. Teknolojia iliyokuja inaruhusu wananchi kuweza kuwafikia viongozi wao moja kwa moja, kupanga na kufanya mijadala ya umma.
Ongezeko la watumiaji linamaanisha ndipo dunia inapokwenda, kama ongezeko ni kubwa viongozi na mamlaka watambue kuwa uwanja wa demokrasia nao unatakiwa kukua, haiwezi kubaki vilevile wakati watumiaji wanaongezeka.
Wasipokubali kwenda na mabadiliko ndipo hapo inakuwa ngumu kuwa na maelewano baina ya pande mbili.
Naomba umuulize balozi kwanini wanasupport nchi ambazo hazina demokrasia kama Tanzania?
Unadhani ni kwa nini unaamini hivyo?Sidhani kama demokrasia imepewa kipaumbele hapa nchini kwetu zaidi ya ukandamizaji tu sijui tunakwenda wapi
Shemu, Mitandao ya kijamii imesaidia kukuza Demokrasia.Sidhani kama demokrasia imepewa kipaumbele hapa nchini kwetu zaidi ya ukandamizaji tu sijui tunakwenda wapi
Going Digital is the way to Go and the only way which might guarantee the People have Real Power, I might call it Power at your Fingertips....
Automating Democracy - The Real Power to the People
A Dialogue towards Total Inclusion (A Book by Busara Bin Hekima) Introduction: With all its problems, still most argue that Democracy is somehow the better alternative way of governing, as Winston Churchill is believed to have said…, “No one pretends that democracy is perfect or all-wise...www.jamiiforums.com
Ni kweli demokrasia inakua lakini tatizo ni perception ya viongozi wa kisiasa, wengi wao huwa wanaangalia maslahi binafsi kabla ya kuanza kuruhusu haki ya kutumia mitandao kujieleza.Shemu, Mitandao ya kijamii imesaidia kukuza Demokrasia. Sasa hivi watu wanafuatilia matukio mbalimbali live kwa kutumia simu tu. Wanashiriki midahalo na mada mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii. Tungekuwa wapi isingekuwepo?
Sikatai, najua kwa sehemu fulani imesaidia ila bado demokrasia inaendeelea kukandamizwa ingawaje mitandao imeweka peupe na bayana.Shemu, Mitandao ya kijamii imesaidia kukuza Demokrasia. Sasa hivi watu wanafuatilia matukio mbalimbali live kwa kutumia simu tu. Wanashiriki midahalo na mada mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii. Tungekuwa wapi isingekuwepo?
Digitali imesaidia kuonyesha jinsi demokrasia ikikandamizwa wale wanaoinuka kutetea uhuru wa kitu fulani wanakandamizwa, ilhali wako huru kutoa madukuduku yao na kuleta maslahi kwa taifaUnadhani ni kwa nini unaamini hivyo?
Kwamba China wamekwenda Digital katika Demokrasia ?Ingekuwa hivyo China na Russia
Hatari snKwa sababu mataifa siku zote yanaangalia maslahi yao kwanza ndipo mambo mengine yanafuata.
Ndio maana unaona US wameenda kufanya mazungumzo na Maduro wa Venezuela vita ya Urusi na Ukraine ilipoanza.
Ipo sehemu gani?Tanzania hakuna demokrasia mkuu?
NI shida snHivi ni vikao kama vikao vingine tu
Mitandao sijui digitali inakuza demokrasia ni % ndogo sana
Comments za kujenga kukosoa aina fulani fulani mods mnazibana sana humu
* mpunguze kuchokonoachokonoa kwenye niniliii za watu hapo ndipo tutaanza kuimba mapambio so far badoooo sana..